WALIMU wakipata madaraka ni vilio na huzuni kwa waliochini yao.huwapelekesha kwa dharau,kiburi na kila aina ya manyanyaso.tumeona maafisa elimu wengi ni walimu lakini ni vyanzo vya msteso kwa walimu,wakurugenzi waliokuwa walimu nao hivyo hivyo.wanawatendea walimu kama vibarua fulani hivi.Angalia watumishi wenye madai ya muda mrefu serikalini na kwenye halimashauri za wilaya ni walimu.na wakubwa wengi huko walikuwa walimu.ustarajie unafuu wowote kwa vile raisi au mke wa raisi alikuwa mwalimu.sahau!!!!!