Hongereni tena walimu

Hongereni tena walimu

Allam

Senior Member
Joined
May 4, 2013
Posts
142
Reaction score
9
ni mara nyingine tena nota inawaka ni baada ya mwl nyerere sasa ni zamu ya mwl dr.john pombe magufuli nani kama mwl?????????
 
ni mara nyingine tena nyota inawaka ni baada ya mwl nyerere sasa ni zamu ya mwl dr.john pombe magufuli nani kama mwl?????????
 
hakuna::::::::😍😍😍😋😗😗😗😙😙😙😘😘😘😘😚😚😚
 
Na kwa tariffa yako hata mkewe JANET POMBE MAGUFULI mwalimu shemeji tena angia ikulu tena primary school
 
poa tu waseminari na watu wa domestic science mtasubiri sana
 
Heshima kwa walimu itarudi. Waandish wa habar wasubir kidogo.
 
acheni kuwadanganya walimu kuwapa mategemeo baada shemej unatuachaje watakuja na mwenzetu unatuachaje
 
Hata Mwinyi alikuwa mwalimu.

Abood jumbe naye alikuwa mwalimu.

Hongereni walimu mlikuwa na shemeji, Sasa mmekalia kiti wenyewe.
 
Utu wa m2 subiri apate chance na hela anasahau. Walimu huwa wanajimaliza wenyewe
 
WALIMU wakipata madaraka ni vilio na huzuni kwa waliochini yao.huwapelekesha kwa dharau,kiburi na kila aina ya manyanyaso.tumeona maafisa elimu wengi ni walimu lakini ni vyanzo vya msteso kwa walimu,wakurugenzi waliokuwa walimu nao hivyo hivyo.wanawatendea walimu kama vibarua fulani hivi.Angalia watumishi wenye madai ya muda mrefu serikalini na kwenye halimashauri za wilaya ni walimu.na wakubwa wengi huko walikuwa walimu.ustarajie unafuu wowote kwa vile raisi au mke wa raisi alikuwa mwalimu.sahau!!!!!
 
kazi ya mwisho au utaalam wa mwisho mpk Nyerere anaingia ikulu ilikuwa nn? na magufuli utaalam wa mwisho mpk anatarajia kuingia ikulu ni upi
 
Back
Top Bottom