A Anonymous Caller JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 1,404 Reaction score 1,907 Apr 9, 2025 #1 Wamejitahidi kucheza kwa nidhamu sana.ni timu mpya ambayo uwepo wake ni August mwaka jana. Valentino Nouma hastahili kuwa benchi.
Wamejitahidi kucheza kwa nidhamu sana.ni timu mpya ambayo uwepo wake ni August mwaka jana. Valentino Nouma hastahili kuwa benchi.
Tochuku JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 5,146 Reaction score 7,984 Apr 9, 2025 #2 Hata mukwala hastahili kabisa kua benchi...kweli straika unamueka mwenye kitambi unamuacha alie fit sijawahi kuona hii kokote...akina mavambo...
Hata mukwala hastahili kabisa kua benchi...kweli straika unamueka mwenye kitambi unamuacha alie fit sijawahi kuona hii kokote...akina mavambo...
A Anonymous Caller JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 1,404 Reaction score 1,907 Apr 9, 2025 Thread starter #3 Maforwad ni adimu mno
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,171 Reaction score 71,623 Apr 9, 2025 #4 Almasry ni timu mpya??????? Hii ni ajabu
Ng'wanamangilingili JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 5,789 Reaction score 4,877 Apr 9, 2025 #5 Kalpana said: Almasry ni timu mpya??????? Hii ni ajabu Click to expand... Anamamisha simba