Hahahaha....mkuu si kwa comment hii.Tulitangaziwa soka la kiume, tukajiandaa kuona football la kukata na shoka, kumbe uwanjani watu wanacheza rede....
Wanashiriki ili mashabiki ambao ndo hutoa sauti uwanjani huenda wakaona hii faulo ili kesho wajue wanaamua nini kwa mechi za kujipangia matokeo. Huenda wasilipe viingilio maana wanakosa ladha ambayo walienda kuitazama na ikatoa matokeo sawa na wasio na nguvu uwanjani maana wote watakosa mapatoLakini kuna kautata kidogo nakaona ,inakuweje unashiriki ligi ambayo refa kabeba matokeo ,vibendera wanasema sawa ,Polis wa uwanjani wamevaa sare ya timu unayopambana nayo TFF ukipeleka lalamika nao wamevaa sare .
Hapo tu Kwanini uingize timu uwanjani? Naombeni jibu hii kitu inanitatiza sana.
Mkuu, ujumbe murua kaabisa!Habari wana jf
ANGALIZO USIKURUPUKE KWENYE UZI HUU,,,,,,kama unaupeo mdogo wa kufikiri usijiangaishe
Mheshimiwa M/kiti hongera sana kwakua mikakati yako imefaulu kwa asilimia 88℅
Hakuna tena fyokofyoko Kimya!
Wale power comvicer woote ni thooflhal!...waliopo wameufyata..mithili ya mbwa koko.....hongera umefanya uma wao ukate tamaa . Fanya utakavyo mkuu [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] kocha ni wewe Refa niwewe ,mchezaji ni wewe.
Mkuu alie shauri mbinu hii usimtupe mpe kofia atupenyingine ya kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja....ajira kwa vitukuu vyetu...nk
Lakini hakuna Yanga bora bila Simba bora...kuishusha daraja timu moja ni kushusha hari na hadhi ya kijiji chetu katika soka..[emoji41] nakuona hapo unavyoshangilia ushindi...mmmmh! lakini mbona umepooza ushindi huu ...tia ndimu kidogo ichachue,,[emoji36] ,,yaweza saidia.
Mkuu wanadai wanachezewa rafu...wanadai ile kadi nyekundu so halali...wanadai ile si penati......dah! M/kiti usipuuze hoja zao.....mashabiki wakichoka uonevu yaweza kuja maafa....[emoji97]
Teh! Teh! Teh! iledhana ya mpira ni burudani burudani iko wapi sasa ....no fair play[emoji30]
NDIO MAANA AMETAHADHARISHA MAPEMA, USIKURUPUKE KUJIBUHii ni nyimbo ya taarabu?go straight kwenye mada
Sheria za fifaLakini kuna kautata kidogo nakaona ,inakuweje unashiriki ligi ambayo refa kabeba matokeo ,vibendera wanasema sawa ,Polis wa uwanjani wamevaa sare ya timu unayopambana nayo TFF ukipeleka lalamika nao wamevaa sare .
Hapo tu Kwanini uingize timu uwanjani? Naombeni jibu hii kitu inanitatiza sana.
Watoto wanaozaliwa Leo wajue timu ipoLakini kuna kautata kidogo nakaona ,inakuweje unashiriki ligi ambayo refa kabeba matokeo ,vibendera wanasema sawa ,Polis wa uwanjani wamevaa sare ya timu unayopambana nayo TFF ukipeleka lalamika nao wamevaa sare .
Hapo tu Kwanini uingize timu uwanjani? Naombeni jibu hii kitu inanitatiza sana.
Umenena vema sana ndugu,, wajuvi wa mambo tumekuelewa.Habari wana jf