Georgia,
Ama kweli wahenga husema "kujua kwingi uondoa maarifa". Mmejua mkapitiliza. Ni kitu gani kimewafanya wewe na mume wako mshindwe kusoma alama za nyakati kwamba watuhumiwa wa ufisadi hawabebeki? Matokeo yake mmejitia doa ambalo halikuwa lazima mlipate! Jamii ya watanzania wenye uelewa itaendelea kuwashangaa kwa kipindi kirefu, kwa kujifanya mawakala wa mafisadi. Mmeumbuka na kujiumbua. Kwa kuwa kupanga ni kuchangua, ninawapeni hongera sana.
Alex
I came across to the message in which Alex warns Ms. Georgia (can be contacted at Celtel/Zain) of the latter's family to openly host fisadis, and therefore the public image loss/price the family should bear.