Nsungamealex Member Joined Aug 12, 2021 Posts 12 Reaction score 14 Jul 2, 2022 #1 Club ya Yanga imefanikiwa kutwaa Taji la FA kwa mikwaju ya penalt baada ya kutoshana nguvu kwa goli tatu tatu.
Club ya Yanga imefanikiwa kutwaa Taji la FA kwa mikwaju ya penalt baada ya kutoshana nguvu kwa goli tatu tatu.
STUKA M1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,649 Reaction score 7,270 Jul 2, 2022 #2 Ynga Bingwa wa mda wote.. wengine wanaiga tu
whiteskunk JF-Expert Member Joined Jul 24, 2021 Posts 3,928 Reaction score 9,449 Jul 2, 2022 #3 Hakukuwa na ulazima wa kutupiga na mabomu ya machozi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,530 Reaction score 195,327 Jul 3, 2022 #4 Kila la kheri zao...
Moshi25 JF-Expert Member Joined May 6, 2022 Posts 2,812 Reaction score 4,415 Jul 3, 2022 #5 Fataki zilipendeza, ubingwa raha sana!!