sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
Muombe husninyo au charminglady, mi kuna mtu naenda kumzawadia kesho....
Hahahaaaaaaa Evelyn Salt,labda kama kuna nyingine!!
Evelyn Salt na wewe umo??!!!!!
Kweli ninayo, amini usiamini ipo.....
Hahahaahaaaa Evelyn Salt,,ngoja nimuombe mdada aliyejaaliwa a.k.a Bujibuji aje akukague
Kunyweni!! Kisha mnipm nawarudishie pesa zenu.
Unanipa machungu tu jamaa nilikuwa namzimia kumbe sio jamaa
Zawadi day ndio leo sasa....Hahahaaa Evelyn ulikuwa unamzimia!!Alivyokuwa bazazi!!Kumekucha Evelyn Salt,,vip tayari ishakuwa historia ile zawadi?
hongera ya kimya kimya.
Asante nimetikia kimoyomoyo!
Amejuaje??? Siku hizi tupo wachache sana....