Hongera madiwani wa CHADEMA. Endeleeni kutenda haki, maccm yanaendeleza dhuluma na uzushi,
Mji umeongeza mapato ya ndani ni mipango yenu hiyo, big up sana.
Ikiwezekana sasa kama hati ya ununuzi ina utata warudishe kiwanja hicho soon.
Pia ni vema wanainchi waambiwe kinachoendelea. Ars tupo nyuma yenu.
Kamanda Lema na madiwani wako Mungu atawavusha salama 3015