MpigfilimbiwaHamelin
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 652
- 169
Na-comment tu: Si kawaida kuwapongeza hawa jamaa, leo asubuhi tulikuta foleni iko Baruti!! lakini ilituchukua dakika14 tu kuvuka mataa ya Ubungo - Trafiki na polisi wengine waliojizatiti vyema walikuwa wakikamata wanaotanua na kuwatwanga faini palepale - WALIKOMAJE?
Kumbe wakiamua inawezekana. Ukiwa na la kuongezea tupia hapa, usipunguze tafadhali - wamenikosha sana leo, hasa kwa tunaotii sheria. Hongera kamanda C. Wambura na wenzako!

We kiazi hiyo barabara ya Morogoro hupewa kipaumbele zaidi kuliko ile ya Mandela/Sam Nujoma hivyo acha kuwavika pembe za sifa hao wazee wa favor...
Watu wanakaa hata saa nzima kusubiri waruhusiwe kuelekea ama Mwenge au Buguruni/Tabata kwa sababu tu nyie viazi mnaotoka au kwenda mkoa huko mpitishwe haraka haraka...

Na-comment tu: hicho ni kimsimu tu!Hapo kwenye red, wanaaoongea hivyo ni watoto wa kike
....kiswahili au...sioni haja kamwe ya kueapibgeza hawa majambazi waliosajiliwa....
Mkuu tutake radhi hapa kwenye red wakazi wa Kimara, Mbezi, Kibamba na wengineo wote uliomaanisha! Sio sisi ni trafic!
Ndio maana siku zote tunasema traffic police ndio chanzo kikubwa cha foleni kwa maana mbili: Kupenda kuongoza magari sehemu zenye taa- kushindwa kuweka uwiano wa kuvuta magari 2. Kushindwa kusimamia sheria hasa kwa watanuaji. Kwanini askari hupenda kujikusanya kwenye taa?
Ingewekwa utaratibu kuanzia saa kumi wale askari wa Tigo wanakaa kwenye zile bara bara maarufu kwa drivers kutanua halafu taa zifanye kazi ya kuongoza magari. Askari waongoze tu wakati wa dharura mfano, msafara, ambulance, ajali etc