ni mojawapo ya wachezaji ambao wanastahili sifa za pongezi, ikiwa ameitimisha mechi yake ya mwisho mda mfupi uliopita ambapo liverpool wamefungwa na crystal palace 3-1 haijarishi! Steve gerrad ametundika daruga rasmi na leo ndio ilikuwa mechi yake ya mwisho, mchezaji mwenye msimamo kwani toka ameanza kuchezea timu iyo ajawai kuama mpaka anastahafu soka leo hongera steve!!