Ni kweli kwamba uhuru huu wa 1961 ni wa Tanganyika. Neno Tanzania au Tanzania bara lilikuja baadae mwaka 1964 baada ya kuungana na zanzibar. Lakini vilevile TBC waweza kuwa sahihi kwani baada ya muungano, Tanganyika ilibadilika na kuitwa Tanzania bara.