[h=1][/h]Written by
amini // 14/07/2011 //
Habari //
7 Comments
South Sudan yatowa pesa yake
wenyewibar e, Zanzibar wasema tulinde na tudumishe Muungano wa Tanganyika na Zanzanzibar wakati Tanganyika imeingia kizani.
Samuel Sitta kuna msemo wa Kiengereza unasema
samani ya kuwa huru
nipora kuliko Pande la
Zahabu au Almasi( To be freedom is better
then gold or
daimon).
Kwa
hio kama
mutaendelea kututawala na kukataa mfumo wa
Serekali tatu basi mimi nahisi Katiba itakuwa haina maana nikuja kujingiza ktk kitanzi cha kunyongwa Zanzibar wenyewe.
Chaumuhimu kwa sasa ilikuwa Tanganyika ifanye mchakato wa
kurudicha Tanganyika yake na katiba yake kulikoni kwenda mbele na kuacha umuhimu wa nyuma.
Mimi
huwachangaa Viongozi wa SMZ kusema tusubiri Katiba na mamuzi ya Bunge 2014 kuelekea uchaguzi mkuu?.
Lakini kwa upande wa Zanzibar jee itatusaidia nini katiba ya Muungano wa Tanzania wakati Tanganyika haipo kiimla ni Tanzania?.
Hii nikupigwa changa la macho
Wzanzibar na kuburuzwa kwa kuto tumia akili hakuna
asie juwa kuwa Tanzania ndio Tanganyika kwa kila kitu na mambo yote yako wazi kujuwa , kuanzia katiba,Nembo ya nchi ya Taifa,Bendera, hata mambo ya njee hujiwakilicha tu kwa jina la Tanzania kuomba
misada lakini ikifika nchini hutumika kwa
mahitajio ya Tanganyika.
Mimi nasema Wabunge,Wawakilishi na
Wzanzibar wote kwa ujumla nilazima tuwakamate
Koni Wtanganyika kunda mfumo wa Serekali tatu kama
mwanza yani Tanganyika,Zanzibar na
yashirikicho yani ya Muungano? wakilataa hivyo basi hakuna maana kujadili katiba, maana
mundo wa katiba hii ni
waserekali moja
yani Repblic of Tanzania/Tanganyika.
Jee Wzanzibar(SMZ) munakubali tuwe na mfumo huu wa
serekali 1,
yani Serekali ya Watu wa Tanzania kumbe ni
Wtanganyika wanatufoolish na huku yao yanawaendea halafu wasema hawataki Tanganyika kurudi? wanajuwa kuwa Tanganyika ndio hii Tanzania ya sasa.
Sasa irudi Tanganyika vipi wakati ndio hii? na misada yote na mambo yaso yote hutumika kwa mwevuli wa Tanzania.