Muda si mrefu South Sudan itakaa kuamua jina jipya la nchi yao.
Jee unapendekeza jina gani?.Mji mkuu uwe Juba au wapi?.Lugha ya taifa iwe kiarabu au Kiswahili
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Sudan Kusini kuanza kutumia sarafu mpya hivi karibuni
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD]Serikali ya Sudan Kusini imesema itaanza kutumia sarafu yake mpya katika kipindi cha miezi mitatu ijayo. Elijah Malok, Gavana wa Benki Kuu ya nchi hiyo mpya amesema kuwa, sarafu ya nchi hiyo itakuwa pauni yenye picha ya John Garang, kiongozi wa harakati za kupigania uhuru wa Sudan Kusini. http://kiswahili.irib.ir/index.php?option=com_content&view=article&id=18717:hivi&catid=1:latest&Itemid=74
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]