Hongera sana S Sudan. Tanzania lazima tujifunze pia kutoka Kenya kwa kutumia mwanya wa kumsaidia mpigania uhuru. KUjisifu umemsaidia mtu kupata Uhuru bila wewe kunufaika kiuchumi ni upuuzi mtupu.Sasa hivi Tanznaia tungekuwa na ujanja wa kama Kenya au Marekani wa kuwasaidia watu kupata amani nchini mwao kwa lengo la kuwatawala kiuchumi tungekuwa mbali sana na pengine tungewazidi hata wa kenya na Nigeria kiuchumi. Lakini sisi tulikuwa tunasaidia watu kupata uhuru ili wajiunge na Non alignment au kuwa wakomunisti tuu na hakuna kingine. Huo ulikuwa ni upotezaji wa mali na muda wa bure kwa viongozi wetu.Tumesaidia Msumbiji, Angoal, Sychell, Commoro, na Sauth africa lakini ona ni nchi yetu ni masikini kupita hizo tulizowasaidia.