Gong'hana bageshi.
Dr.Tunakuhakikishia kuwa wasukuma umewapata, tunasema tulikuwa hatujapata mpiganaji wa kweli, kura zetu tumekuwa tukiwapa CCM kama huruma kwa kuwa hakuwepo wa kumpa kihalali.Sasa tunasema kazi ndiyo imeanza, sisi ni wafugaji na wakulima tunataka kuijenga tanzania kupitia sera zako.Tutafuga sana, tutalima sana nA KUONGEZA PATO LA TAIFA TUNAJUA WEWE UTASHUGHULIKIA MASOKO YA UHAKIKA. Usisinzie washa moto wa siasa mpaka kieleweke.