Elections 2010 Hongera Slaa - Ngosha Kucha Alile..........!

Nov 4, 2010
83
2
nakupa hongera zangu sana daktari, kwa kudhihirisha umahiri wako kisiasa, kwa watanzania, specifically wanachadema. wakati tumeshampata sasa rais wa tanzania, ni matumaini yangu basi wewe, wanachadema na watanzania wote, tutatumia nguvu zilezile kuleta maendeleo ya kweli nchini. kinyume chake ni usaliti kwa taifa letu na utakua 'condemned to the gallows', wasukuma wanasema hivi

'Ngosha Kucha Alile'

yaani mwanaume shujaa ni yule anaekufa amekula, pls RIP in this 2010 general elections

thanks
 
Gong'hana bageshi.
Dr.Tunakuhakikishia kuwa wasukuma umewapata, tunasema tulikuwa hatujapata mpiganaji wa kweli, kura zetu tumekuwa tukiwapa CCM kama huruma kwa kuwa hakuwepo wa kumpa kihalali.Sasa tunasema kazi ndiyo imeanza, sisi ni wafugaji na wakulima tunataka kuijenga tanzania kupitia sera zako.Tutafuga sana, tutalima sana nA KUONGEZA PATO LA TAIFA TUNAJUA WEWE UTASHUGHULIKIA MASOKO YA UHAKIKA. Usisinzie washa moto wa siasa mpaka kieleweke.
 
Mwaka 2005 tulimvaa kwa mieleka kumpima kama anafaa kuwa Rais wetu. Tukasema "sagala"

Mwaka huu tumechukua Halmashauri ya Jiji letu la Mwanza mbele yake na kashindwa kufanya usanii wake.

Ataongoza kwa tabhu sana.
 
Sukumaland ndiyo italeta mageuzi ya kweli, na yameshaanza. Halmashauri zifuatazo sasa zitaongozwa na Chadema for the next 50 years.
  • Mwanza City
  • Maswa
  • Shinyanga Mjini (hata baada ya kuchakachua ilishindikana kupata madiwani wa kutosha)
  • Ukerewe
  • Bukombe
  • Msoma mjini
 
Back
Top Bottom