Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,914
- 43,504
Wasalaam wana jamvi,
Ni wazi kabisa mtu akifanya jambo jema ana stahili pongezi bila kujali anatokea wapi au ni mlengo gani!
Kwa kweli tangu Mh Magufuli kupitia CCM kupata ushindi na kuianza kazi waliyotumwa na watanzania kila mtu ameshuhudia kabisa nchi imekuwa na utulivu mkubwa sana na UKAWA wamekuwa wakitii sheria bila shuruti.
Miaka iliyopita ilikuwa haiwezekani UKAWA kupitisha wiki mbili bila kutoa tamko au kuitisha maandamano hasa kwenye miji ya Mwanza, Arusha na Dares-salaam na hata wakiambiwa hakuna kuandamana basi watagoma na kuandamana na kupelekea wafuasi wao kujeruhiwa huku Mbowe na wenzie wakijifichi.
Kusema ukweli Mbowe na UKAWA siku hizi wamekuwa watii na wamekuwa na adabu hadi wanafurahisha na vijana wao pia wamekuwa na adabu hata matusi kwa serikali na viongozi wao wameacha na sasa wamejikita kuangalia na kushuhudia jinsi Magufuli anavyo jenga nchi.
Wana UKAWA wakiongozwa na Mbowe sasa wamekubaliana na ushauri wa Mh Rais wa kuacha siasa zisizo na tija na kujenga nchi! Kwa kuwa hadi sasa UKAWA hawana cha kushauri kwa serikali imewabidi watulie na kuangalia serikali iliyo chaguliwa na wananchi wengi jinsi inavyo fanya kazi kwa weledi! Nawapongeza sana UKAWA.
Mtakumbuka imekuwa utamaduni wa wana UKAWA na viongozi wao wanapo kosa la kukukosoa basi watatoa hata kashifa au matusi kwa serikali au viongozi wake lakini utamaduni huu naona wameuacha maana wanajua fika kwa serikali hakuna nafasi ya kutoa matusi bali ni kutii sheria bila shuruti na atakaye ikwamisha serikali kuleta maendeleo atabomolewa au atakaye leta fyoko fyoko atatandikwa! Kwakweli UKAWA na Mbowe wana stahili pongezi.
Kwakweli UKAWA wanastahili pongezi hasa Mbowe.
Karibuni wana jamvi