bashe ni mzuri sana huwa akiongea hata kama nibo busy ntasimama kidogo kumzikiliza ..... ccm wote wangekuwa kama bashe na filikunjombe tungekuwa mbele lakini wapo kama bashite na boss wake pyeee tupo haaKati ya Wabunge niliyowavulia kofia ni Mhe. H. Bashe. Mhe.Bashe anapowasilisha hoja yake anaiwasilisha kwa mpangilio, ufasaha na hoja iliyojaa takwimu. Namshauri Mhe. Rais kumteua Mhe. Bashe kwenye Uwaziri na atakuwa msaada mkubwa sana kwa Rais. Kweli wananchi wa Nzega hamjakosea kumchagua Mhe. Bashe. Huyu Mhe.ana uwezo mkubwa sana.
Mkuu hautaki watu namna ya Bashe, anataka namna ya BashiteKati ya Wabunge niliyowavulia kofia ni Mhe. H. Bashe. Mhe.Bashe anapowasilisha hoja yake anaiwasilisha kwa mpangilio, ufasaha na hoja iliyojaa takwimu. Namshauri Mhe. Rais kumteua Mhe. Bashe kwenye Uwaziri na atakuwa msaada mkubwa sana kwa Rais. Kweli wananchi wa Nzega hamjakosea kumchagua Mhe. Bashe. Huyu Mhe.ana uwezo mkubwa sana.
Akili za kibashite hiziHussein Bashe Vs Wakili msomi Joseph Mbilinyi
Hussein Bashe Vs Wakili msomi Joseph Mbilinyi
ccm wengi wapuuzi sana akili hawana like both ov u"wakili msomi Joseph mbilinyi"
Wonders shall never end
Kweli mkuu, hata Mwakyembe alikuwa hivyo hivyo.Huwa Akili inapotea wanapokuwa mawazili humuoni nape alivyo kuwa ni tofauti na sasa hivyo basi akae hivyo hivyo
Bashe Vs BashiteHussein Bashe Vs Wakili msomi Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu Jezi namba 7
Hahahahh Hon. Bashe is the leader while bashite is the piece of shitBashe Vs Bashite
Muheshimiwa Bashe nakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya bungeni hii ni faida kuwa mbuge mahiri hutizami chama kazi ya chama imekwisha zamani hapa kazi tu, unachokitizama ni hoja ambazo serikali inatakiwa kuzifanyia kazi, nasaha yangu kwako kwa kuwa una maono yaliyo kamilifu kwa taifa hili usikubali kuchaguliwa kuwa waziri kwa maslahi mapana ya taifa au nafasi ya kukufanya kutokuweza kuchangia ipasavyo bungeni, wabunge wa bunge la Tanzania ni wachache wanao jielewa ukiwemo wewe muheshimiwa bashe, kumbuka maendeleo ya haraka ndani ya taifa yanatokana na kuwa na wachangiaji bora kwenye bunge letu tukufu, bunge halina chama lina wasimamizi wa serikali pamoja na wewe muheshimiwa BasheKati ya Wabunge niliyowavulia kofia ni Mhe. H. Bashe. Mhe.Bashe anapowasilisha hoja yake anaiwasilisha kwa mpangilio, ufasaha na hoja iliyojaa takwimu. Namshauri Mhe. Rais kumteua Mhe. Bashe kwenye Uwaziri na atakuwa msaada mkubwa sana kwa Rais. Kweli wananchi wa Nzega hamjakosea kumchagua Mhe. Bashe. Huyu Mhe.ana uwezo mkubwa sana.