Crocozilla
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 469
- 335
Napenda kuchukua nafasi hii kutoa pongezi zangu za dhati kabisa toka ndani ya moyo wangu kwa huyu mwanamke jasiri Halima Mdee kwa jinsi ambayo ameweza kupigania haki yake ambayo ilishapokwa.
Jamani ni ngumu sana kuwa mbunge hasa ukitokea kambi ya upinzani hapa Tanzania tena ukiwa mwanamke!!
Wote wataitwa wabunge ila wengine wamefika kwa kupitia mazingira magumu sana kwa kweli.
Wanachakachua mno jamani duuu!
Halima Mdee wewe hunijui lakini nasema wewe ni IRON LADY unayejali wanzania woooote na Mungu akubariki sana.
Hivi bunge linawezekanaje bila Mdee?
Yeye ni Asset hata kwa sisi tusio na chama kabisa!
Huna lolote gamba,kamwe huwezi takia mazuri mwana ukawa acha unafiki!Halima ni zaidi ya wabunge 200 wa ccmIla Mshaurini Basi Apunguze Kupenda Na Kutumia Kwake MSUBA Na Wale MASELA Wa Pale BASIHAYA. Sasa Masuala Ya USELA Nnya Aachane Nayo Na AJITAMBUE. Binafsi Bila KUPEPESA MACHO au KUTIKISA MASIKIO Japo Ni Mwana CCM KINDAKI NDAKI Na Tena NILIYETUKUKA Lakini From The Bottom Of My Heart NAMKUBALI Sana Dada Halima Mdee Na Ni Mfano Mzuri Wa Kuigwa Kwa Akina DADA ZETU Wengine.
Well said, nilikuwa DSM kwa kweli amepambana. Pia ni mmoja wa wabunge muhimu sana kwa utetezi wa wanyonge hapa nchini.Napenda kuchukua nafasi hii kutoa pongezi zangu za dhati kabisa toka ndani ya moyo wangu kwa huyu mwanamke jasiri Halima Mdee kwa jinsi ambayo ameweza kupigania haki yake ambayo ilishapokwa.
Jamani ni ngumu sana kuwa mbunge hasa ukitokea kambi ya upinzani hapa Tanzania tena ukiwa mwanamke!!
Wote wataitwa wabunge ila wengine wamefika kwa kupitia mazingira magumu sana kwa kweli.
Wanachakachua mno jamani duuu!
Halima Mdee wewe hunijui lakini nasema wewe ni IRON LADY unayejali wanzania woooote na Mungu akubariki sana.
Hivi bunge linawezekanaje bila Mdee?
Yeye ni Asset hata kwa sisi tusio na chama kabisa!
Huna lolote gamba,kamwe huwezi takia mazuri mwana ukawa acha unafiki!Halima ni zaidi ya wabunge 200 wa ccm
Huna lolote gamba,kamwe huwezi takia mazuri mwana ukawa acha unafiki!Halima ni zaidi ya wabunge 200 wa ccm
Ila Mshaurini Basi Apunguze Kupenda Na Kutumia Kwake MSUBA Na Wale MASELA Wa Pale BASIHAYA. Sasa Masuala Ya USELA Nnya Aachane Nayo Na AJITAMBUE. Binafsi Bila KUPEPESA MACHO au KUTIKISA MASIKIO Japo Ni Mwana CCM KINDAKI NDAKI Na Tena NILIYETUKUKA Lakini From The Bottom Of My Heart NAMKUBALI Sana Dada Halima Mdee Na Ni Mfano Mzuri Wa Kuigwa Kwa Akina DADA ZETU Wengine.