peter joseph gibalya
Member
- Jan 18, 2014
- 11
- 5
Wapenzi na watambuzi wa wagombea wenye hari ya kuwaletea maendeleo watz wameonekana tena kwa mara nyngne ktk jimbo la chalinze ambapo kijana mwenzetu ridhiwani katimiza moja ya ndoto yake ktk maisha,ninasema hongera ridhiwan na hongera martin shigela mana uliliona hili ukasema ccm inamzizi kuanzia matawi hadi taifa we think more sisi vijana na tutabanana mda mwngne ukifka,ccm waaooooo......