Wewe achana na Mimi kitu usicho kijua
Unakaa kimya sio lazima uchangie
Nina misimamo yangu mi sio fuata upepo mtu akifanya vizuri asifiwe hapo ndio huwa
Nashinda na watu wengi
Wewe achana na Mimi kitu usicho kijua
Unakaa kimya sio lazima uchangie
Nina misimamo yangu mi sio fuata upepo mtu akifanya vizuri asifiwe hapo ndio huwa
Nashinda na watu wengi