KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199

<br /

basi tumsifiwe kaimu mkuu wa mkoa kwa maji kutoka wakazi kwenye jimbo ya ubungo

Mkuu wa mkoa na kaimu mbona walikuwapo maji ayakutoka mpaka wapigania uhuru walivyoandamana?. Ndo leo nyie mamisaburi mnajua kuwa kaimu ni mkuu wa mkoa? Wakat ye ameweka misaburi yake kwenye ofc zetu za uma ameshindwa kushugulikia hadi mambo ya gongo la mboto
cha ajabu jimbo la Kinondoni awana tatizo la maji lakini hili kino wapate maji razima ya pite ubungo ndo ya fike kinondoini Pia na wizara ya maji hipo ubungo na maji ya tabu why
Mzee wa Rubisi, unaweza kuniambia Ubungo inaanzia wapi na kuishia wapi na maji yanatoka Ubungo gani?tumemsifia mbunge wa ubungo imekuwa tabu.Wagongo la mboto poleni ndo inchiii yetuuuu

Mh Mbunge wa ubungo ongera kwa mkala wako wa Dawasco hatimae maji yametoka leo.Kumbe watu wanaogopa maandamano bila mkwala wako maji tuliyasikia mala 4 ya mgao wa umeme

Kuna usafi unaoweza kufanyika bila maji na umeme. Hata mpangilio mzuri tu wa mambo ni usafi. Lakini hapo stendi kila kitu shaghalabaghala. Mivumbi, vikwapa, kuchomekeana, vibao vya matangazo visivyoonekana....yaani ovyo ovyo kabisa.

Sidhani kama maandamano ni suluhisho.

Ubungo stendi ya mabasi ya mkoa vipi pale....mbona pachafu hivyo?

<br /
nini suluhisho ?