natumia fursa hii kuwapongeza madiwani wa halmashauri ya manispaa ya moshi wakiongozwa na meya jafari michael kwa kusimamia vizuri pesa za serikali.mfano karibu barabara nyingi za lami mjini zimepigwa lami hata za maeneo yaliyosahaulika kwa miaka mingi kama uswahilini,njoro.majengo. Lami imefika ikumbukwe halmashauri hii inaongozwa na chadema.pia mbunge wetu tunajua unastaafu mwakani ila umejitahidi sana.tunajua swala la kulipia ada wanafunzi sekondari lingepita ila mkurugenzi alikataa ili kutekeleza matakwa ya waliomtuma. my take
mambo haya yanahitaji kushuhulikiwa kwa uharaka japo yapo kwenye mchakato
1.uwanja wa michezo wa maimorial
2.stand ya gari kubwa za mikoani pale ngangafumuni rau.
3.ujenzi wa fensi shule ya sekondari kiborloni,umaliziaji wa maabara,miundo mbinu ya maji na majengo ya utawala hapo shuleni
4.manispaa ianzishe mchepuo wa kidato cha tano katiaka moja ya shule zake kwani manispaa haina shule ya kata yenye advance zaidi ya shule kongwe za mawenzi,moshi tech na old moshi na shule zenye angalau hadhi ya kuanzisha kidato cha tano ni kiborloni sekondari na j.k.nyerere sekondari.mbunge shuhulikia hili swala utuachie urithi tukukumbuke.
Kweli kabisa hongereni tunaona kazi yenu madiwani na mbunge unyanyasaji mjini kwa machinga umepungua hatukamatwi ovyo tena ila swaka la uanzishaji advanced level naliunga mkono pale kiborloni sec.maana ile shule ina walimu makini sana wa kusimamia nidhamu na taaluma.mbunge shuhulikia hili ongeza majengo angalao mwakani advance ianze pale hata na wanafunzi wachache.
2015 nadhani jafari au basili lema wanafaa kwani tunajua tukiwa na madiwani makini kama abuu shayo,ray mboya,mama kowero,kagoma, jomba koyi,mwita wa msaranga,minja,sherifu,hawa na yule wa ng"ambo n.k maendeleo yatakuja tu.