Sasa mbona juzi kule bungeni wana ukawa hawakuwakilisha suala kuibiwa kura za lowasa? Au hakuibiwa bali ni usanii wake tu? Kwa suala la seif lisu alikua msemaji wa ukawa lakini zijaona anatolea macho wizi wa kura za lowssa? Mimi nadhami lowasa anajua hakuibiwa kura lakini atawaambia nini waliotoa chopa?