Mkuu unapo sema upumbavu wa wabunge unatakiwa ku-bold, upumbavu wa wabunge ccm ndio chanzo cha maamuzi mabovu! Ukifuatilia zile NDIOO na ule mfumo wa kuunga mkono hoja kwa asilimia 1000 halafu katikati ya michango wana lalamikia mambo kibao yaliyoko kwenye walicho unga mkono asilimia 1000!
Chama Cha Majanga!