Arusha sasa itatulia.sana labda.mpaka wakati wa uchaguzi tena.maana chadema wamepata haki yao ya kuongoza ... Issue iliyobakia ni ya umeya ambayo nafikiri chadema wameweza kupata njia mbadala za kudeal naye
Unayajua maneno japo hujui maana yake! Lema hakubadilika bali he is pragmatic; landscape ya kisiasa hapa Arusha imebadilika sana baada ya Brush ya 4 kwa Zero! Sijui kama una habari kuwa Lema sasa anahudhuria vikao vya Madiwani na Meya wa kichina Lyimo ndie anakwepa vikao, makamanda wako ulingoni hana majibu ya hoja kibao za tuhuma za ufisadi!
lema anahudhiria vikao ili kuganga njaa tu.
Kabla ya siasa lema alikuwa .fanyabiashara???
Ya magari au?
Unayajua maneno japo hujui maana yake! Lema hakubadilika bali he is pragmatic; landscape ya kisiasa hapa Arusha imebadilika sana baada ya Brush ya 4 kwa Zero! Sijui kama una habari kuwa Lema sasa anahudhuria vikao vya Madiwani na Meya wa kichina Lyimo ndie anakwepa vikao, makamanda wako ulingoni hana majibu ya hoja kibao za tuhuma za ufisadi!
ataacha kutulia na jicho lenyew limeshaliwa?