Namshukuru zaidi huyu mwana sanaa kwa namna anavyochangia kutoa taswira ya tatizo tulilo nalo. kwamba tatizo hapa ni majumba ya wachache (< 20% ya watanzania) kutokuwa na taa majumbani mwetu, kukatishwa katikati ya mechi za soka za ulaya kwenye runinga zetu. Kelele nyiingi facebook na katika mitandao mingi GIZA....
Kwamba tatizo siyo kuhujumiwa uchumi kwa kudorora kwa sekta mbali mbali zikiwemo viwanda na biashara...
Kwamba tatizo si kuzorota kwa huduma muhimu za kijamii kama afya na elimu kutokana na uhaba wa nishati...
Anyway who cares?
Its all about what affects me directly. Otherewise viongozi peke yao ndio wabinafsi, not me, not us no never!
Shame on us.