Ktk hali ya kudhibiti ujangiri wa meno ya tembo na faru, Rais Uhuru Kenyatta ameamua kulinda hifadhi za nchini kenya kwa kutumia ndege zisizotumia rubani.Je kwetu sisi tanzania tunaweza kuwa na dhamira ya kweli?
Wasiwasi wangu ni kama jk anaweza ku introduce hii aina ya ulinzi kwani alishasema kuwa wahusika wa ujangili anawafahamu! Sasa atauwa watu anao wafahamu?