Inafurahisha sana kuona watu maarufu nao wanaliunga mkono hili jambo
Wakipatikana wasanii kama kumi wakifanya kama alvyofanya idris itasaidia katika mbio zetu za kumtoa nduli madarakani
Viatu vikatike miguu ivunjike kesho tujitahidini tujitokeze kwa wingi