Hii kampuni ililetwa wakati ule wa mchakato wa kumtafuta mgombea wa urais
na inasemekana walitoa fedha nyingi kwa mmoja kati ya wagombea wa ccm na ndio wakaletwa kufunga mitambo yao haraka haraka na bila kufuata utaratibu!! Sasa yule aliyewaleta alishindwa na hawana godfather tena hivyo wanatapatapa!! Yule engineer Natty wa Kinondoni anaweza kueleza nani aliwaamuru wafunge mitambo hovyo hovyo wilaya ya Kinondoni!!