Napenda kuipongeza halmashauri yangu ya jiji la arusha kwa kuwa na mikakati ya kuweka jiji safi kuanzia tarehe 1/9..hii itaambatana na kuwaondoa wafanya biashara wadogowadogo maeneo ya mabarabarani
rai yangu:
Ni vyema hawa wafanyabiashara wakatafutiwa mahali pa kufanyia biashara.hii itaepusha mapigano ya mara kwa mara