Hongera CUF, Hii ndio demokrasia ya kweli

navy boi

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
1,517
480
Kutokushirik uchaguz nako ni kukua kwa demokrasia nchini.
Kama chama cha siasa hakilazimishwi kushiriki uchaguz na n hiari yake kushiriki ama lah.
Kuchagua kutokushiriki hakika ni kukua kwa demokrasia nchini.

Hongera cuf kuendelea kuuonyesha ulimwengu kuwa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia
 
Wazanzibar wanapewa fursa nyingine ya kuoonesha ulimwengu kuwa haki inapatikana kwenye sanduku la kura kwa mchakato halali na sio kelele za kikundi flani
 
Chezea majambazi na akiri mbovu wanadhani ccm ni chama cha kurithi? Ni mda tuu ukweli utajitenga na uongo
 
Kutokushirik uchaguz nako ni kukua kwa demokrasia nchini.
Kama chama cha siasa hakilazimishwi kushiriki uchaguz na n hiari yake kushiriki ama lah.
Kuchagua kutokushiriki hakika ni kukua kwa demokrasia nchini.

Hongera cuf kuendelea kuuonyesha ulimwengu kuwa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia
Hivi wanzanzibar.wakapiga kura kuchagua CUF.na ssmu.wakashindwa tena.huku seif kajitoa hapo itakuaje sasa.watarudia tena
 
CUF WALIPOANGAZA KUSUSIA UCHAGUZ WALIJUA WATAWAKOMOA CCM
HAHAAA.
HAWAKUJUA KUWA KUTOKUSHIRIKI UCHAGUZ NAKO NI KUKUA KWA DEMOKRASIA.
NO ONE CAN FORCE YOU KUSHIRIKI UCHAGUZ
 
Kelele za kwenye mitandao na vyombo vya habari haijawahi kuingiza chama chochote madarakani...
 
Mm ningepewa nafasi yakuishauri cuf ningewambia hivi,waende kushiriki uchaguzi wa mara ya pili ila cha msingi nikuhakikisha hilo daftari la wapiga kula,pili tuhamasishe watu wajitokeze kwa wingi na mwisho nikuhamisha majeshi yote ya bara ya chadema, cuf na vyama vyote vinavyounda ukawa kuhamia zanzibar kwa muda,na mwisho kuishawishi serikali tutafute tume nje ya ss nchi jirani ije itusimamie.
 
Naona unaendelea kuota.
 
Hapana mkuu ccm wangefanya ujanja tu mpaka washinde dollar yakwao mkuu
 
Back
Top Bottom