kwenye chaguzi zote wenye maamuzi ya mwisho ni wananchi,kalenga wananchi wameamua tunaheshimu maamuzi yao,swali la kujiuliza wananchi wana elimu ya kutosha kuhusu elimu ya uraia au wamechagua kwa sababu ya ushabiki,kanga,kofia na pilau,je wanajua kwamba serikali hii ya ccm iko madarakani kwa 50 sasa na hakuna walichofanya,je wanajua shule hazina walimu,hakuna vitabu,hakuna maabara sababu ya uzembe wa ccm na seriakali yake,je wnajua ccm na serikali yake ndio wanaingia mikataba mibovu ya gas,madini na uwekezaji mwingine ambayo haina faida kwa taifa"""am just thinking ni mtazamo wangu

MAJIBU SAHIHI
--------------------
Jibu ni kuboreshwa kwa Daftali la wapiga kura tuu.
Karenga ni mabibi ndio yamepiga kura kalenga sasa unafikili maCCM yangefeli kweli....
Makamanda piganieni maboresho ya daftali sasa chaguzi hizi, kwa mjini kama chalinze tutashinda tu ata kwa daftali hili.
Hongera chadema kwakushinda (ingawa hakutangazwa), kama TISS wote walikuwa pale, police nao, kauli ya mkuu wa kaaya lazima kushinda, vitisho vywa green guard na CCM mkoa, na nguvu kubwa ya kutisha vijana na watu makini kutopiga kura.... Nasema tena hongereni sanaa, SASA TUELEKE CHALINZE HAKUNA KUKATA TAMAAAAAAA...
Mungu bariki Tanzania
Mungu bariki Tendega for 2015
vijana wa aina yako wame move kwenda mjini,mmeacha wazee vijijini ndiyo wanao piga kura huko.Vijana wa form iv miaka minne wote hawajaandikishwaCDM katika hili mnajichanganya sana kila Mkipigwa mnasingizia ooh daftari halijaboreshwa mara TISS....mara wazee tu wamepiga kura .....Daftari linalotumika sasa ndo nilijiandiksha na am 23yrs old je rika hilo wote ni wazee...mnataka tuamini kuwa walio kwenye daftari la kudumu wote ni wazee sasa je Mlishinda vp Arumeru,Ubungo na kwingineko mlipigiwa na hao wazee am Daftari waliboresha....Ukweli ni kwamba CDM imepigwa cha msingi ni kuangalia walipojikwaa sio kuleta Visingizio....CCM bado ina nguvu tofauti na tunavyofikiria ukizingatia wako madarakani na wana Resources za kutosha... by Mkereketwa wa Vyama vingi Tz
Matusi yenu kwa sisi wananchi ndio yataendelea kuwaumiza.
Hivi mnaobeza Chadema kushindwa kalenga mlitaka Chadema isusie uchaguzi na Ngimwa apite bila kupingwa? Maana hivi vyma vingine ni kama vimekata tamaa kabisa. kushiriki kwa Chadema ni muhimu sana na CCM inapenda hivyo maana wakishinda kama hivi nao wanajua kwamba bado wanapendwa katika eneo husika. Hakuna mtu mwenye akili nzuri ambaye hajuai kwamba Ridhuani atashinda Chalinze lakini lazima ashindane na watu wengine ajipime anakubalika vipi. Jamani kulingoa jitu kama CCM sio kazi rahisi na itachukua muda. Chadema should stay the course.