Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Thread nyingine bwana,inakuwa tabu hata kujua uichangiaje, thread ime'contain point na pumba humohumo sasa sijui nichangie lipi?
Anyway nakubaliana na mleta hoja Boban amefanya kitu cha kiungwana sana kuomba radhi,nilimshangaa sana Msemaji(ovyo) wa hiyo team yake jana akichimba mkwara watu wanaochangia masuala ya michezo kwenye mitandao ya Kijamii,kuna kitu naanza kuhisi licha ya utumiaji wake wa Sigara kubwa unaweza kukuta upeo wa Boban ni mkubwa kuliko wa yule Kiongozi?
Nawasalimu wana Jf?
Siyo siri baada ya pambano la watani wa jadi.Jina la Boban limekuwa likipamba kwenye vyombo vya habar pamoja na midomo ya WENYE VICHWA VIGUMU ambao huwa wanasubiri dkk 90 zipite ili waanze sababu hasa wanapoona walichoendea uwanjani hakijafanikishwa..lakin kuna watu wanadamu ya kunguni..huyu si mwingine bali ni Haruna Moshi Boban..wakati mpira unakaribia kuisha Boban alimchezea Rafu mbaya Yondan ambayo itamweka nje kwa wiki 2..Kwenye hili mimi nna hoja 2.Mosi,huenda Boban alidhamiria.Pili,huenda hakudhamiria.Lakin yote yalikamilishwa kwa Boban kuomba Radhi..kwangu mimi kama mpenz wa soka lilikuwa jambo la kiungwana na la kufanya jambo hili kufika mwisho.Lakin kwa sababu Moshi ana Damu ya Kunguni watu wamemfanya ndo mtu wa ku make headlines za mwezi.JUMA SEIF KIJIKO..alimchezea rafu mbaya Mwinyi Kazimoto na kumvunja mguu hali iliyomfanya Kazimoto kuwa nje ya Uwanja kwa zaid ya miezi 2.ni rafu iliyochezwa dkk ya 17 ya mchezo.Kijiko alikwenda mbali zaidi hadi kuongea kwenye vyombo vya habari kuwa Alifanyavile kumpunguza kasi Mwinyi,la sivyo angekuw na madhara kwao..hakuna aliyemsakama kwa hayo yote zaidi ya kujipatia umaarufu kwa kumpunguza kasi(KUMVUNJA MGUU) Mwinyi Kazimoto dakika ya 17.wakati ile ya boban ilipigwa dakika za lala salama .hapa ndo utaona Boban anadam ya kunguni.ameomba radhi masaka bado mnamshambulia mbona Kijiko mlimshangilia?
HONGERA BOBAN KWA HILI UMEONYESHA USHUJAA..!
hebu chagua points na pumba uziweke hapa.then tudadavue moja moja,this z how G.Thinkerz Do!
Mzee wa kiroba jogoo
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Yule kafundishwa akaombe msamaha sio akili yake.Eti hongera mmejua mpira hamwezi sasa hivi mnaanza kusifiana kuomba msamaha bangi mbaya sana.Hadi airport mtu anaenda na malapa
Siku zote mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe,boban usikate tamaa mwanagu cheza mpira achana na kina ....hawana lolote,unajua mpira na unacheza mpira wa akili,ni rafu ya bahati mbaya tu,wana simba kazeni buti tupo nyuma yenu achana na yeboyebo,shoga hawezi kuvunja ubikira nasema
viewers ndo watakuumbua...ni tofauti ya uwezo wa kudadavua mambo....sema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchunguPOINT ni tukio la kiungwana la Boban kuomba radhi, PUMBA ni unavyojaribu kuwadanganya wana JF kuwa Kijiko alimvunja mguu Kazimoto (tena umeandika kwa capital letter), naomba nikukumbushe kitu...hivi unakumbuka ile mechi ya fainali Kazimoto aliyoumia ilikuwa ni mechi ya ngapi kwake kucheza? kwa faida yako na ya wenye kumbukumbu haba kama wewe,ile ilikuwa ni mechi ya kwanza kwake akitokea katika majeruhi yake aliyoumia tokea akiwa aidha na JKT Ruvu au Taifa Stars,kilichotokea kwahiyo ni kutonesheka kwenye lile tatizo lake,kwahiyo siyo kweli kuwa Kijiko alimvunja mguu Kazimoto bali alimtonesha katika tatizo lake kama ambavyo kila wakati tunapokutana wachezaji wenu wanafanya kwa Yaw Berko kwenye bega lake, upo?
Tudadavue sasa,kwa mtazamo wangu mimi case ya Kijiko na Kazimoto ni tofauti sana na case ya Boban na Yondani, sijui kwanini watu(wa Simba) nyie mnapenda kusahihisha makosa yaliyofanywa na wachezaji wenu kwa kutafuta makosa yanayofanania na hayo waliyofanyiwa wachezaji wenu, kama Kiongozi wako jana alivyokuja na issue ya Kapombe kuumizwa sana na Bahanuzi, hivi mkoje lkn?
Nawasalimu wana Jf?
Siyo siri baada ya pambano la watani wa jadi.Jina la Boban limekuwa likipamba kwenye vyombo vya habar pamoja na midomo ya WENYE VICHWA VIGUMU ambao huwa wanasubiri dkk 90 zipite ili waanze sababu hasa wanapoona walichoendea uwanjani hakijafanikishwa..lakin kuna watu wanadamu ya kunguni..huyu si mwingine bali ni Haruna Moshi Boban..wakati mpira unakaribia kuisha Boban alimchezea Rafu mbaya Yondan ambayo itamweka nje kwa wiki 2..Kwenye hili mimi nna hoja 2.Mosi,huenda Boban alidhamiria.Pili,huenda hakudhamiria.Lakin yote yalikamilishwa kwa Boban kuomba Radhi..kwangu mimi kama mpenz wa soka lilikuwa jambo la kiungwana na la kufanya jambo hili kufika mwisho.Lakin kwa sababu Moshi ana Damu ya Kunguni watu wamemfanya ndo mtu wa ku make headlines za mwezi.JUMA SEIF KIJIKO..alimchezea rafu mbaya Mwinyi Kazimoto na kumvunja mguu hali iliyomfanya Kazimoto kuwa nje ya Uwanja kwa zaid ya miezi 2.ni rafu iliyochezwa dkk ya 17 ya mchezo.Kijiko alikwenda mbali zaidi hadi kuongea kwenye vyombo vya habari kuwa Alifanyavile kumpunguza kasi Mwinyi,la sivyo angekuw na madhara kwao..hakuna aliyemsakama kwa hayo yote zaidi ya kujipatia umaarufu kwa kumpunguza kasi(KUMVUNJA MGUU) Mwinyi Kazimoto dakika ya 17.wakati ile ya boban ilipigwa dakika za lala salama .hapa ndo utaona Boban anadam ya kunguni.ameomba radhi masaka bado mnamshambulia mbona Kijiko mlimshangilia?
HONGERA BOBAN KWA HILI UMEONYESHA USHUJAA..
Uskonde mkuu ni zile zile itikadi za BABU YAO IBRAHIM AKILIMALI.....wameishiwa hawana mada zenye mashiko...rafu zipo...na hazitaisha sababu ni sehemu ya mchezo....ETI SHAFFIH DAUDA KAMZUIA MAXIMO.....na wao wamerithi kupigania sababu zisizo na msingi ha ha ha haJapo wengine wanabeza ulichoongea, mimi naona kwenye andiko lako kuna hoja zaidi kuliko pumba. Tatizo ni USHABIKI NA UNAZI wa wachangiaji maana kama ni rafu, hii sio ya kwanza na haitakuwa ya mwisho.