Honestly chopping b4 marriage is not a good thing

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,411
Fikiria katika ile chopping enzi za usichana uligombania bwana na bidada. Ulishinda wewe ukanyakua bwana. Bidada ali kumind mbaya.

Ulipoenda chuo mliachana na yule mwanume. Sasa umepata mchumba na anakupeleaka kwao. Yule bishost ni mmoja katika mawifi.
 
Ile maana ya "No body can stop reggae" ndio itafahamika sk hiyo[emoji114]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji1][emoji1][emoji1] unagombana mzee mwenye nyumba tena mbaya,mwisho wa siku mwanae ndo umempa mimba na anataka utambulike kwao hapo umuoe.nani hata kuwa mpole hapo 🕺🏾🕺🏾🕺🏾
 
[emoji1][emoji1][emoji1] unagombana mzee mwenye nyumba tena mbaya,mwisho wa siku mwanae ndo umempa mimba na anataka utambulike kwao hapo umuoe.nani hata kuwa mpole hapo 🕺🏾🕺🏾🕺🏾
Hhasa hii kali
 

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Chopping and tasting is a very good thing that can happen to both of you. Huwezi kununua samaki aliyefungwafungwa kwenye sandarusi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…