Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,937
Hahaha I love JF jamani kuna watu wako smart humu ndani duh nikweli nilimefanya kila njia nimesali sana nikaamua nimsamehe na nikamuomba tukae chini tuyaongee ili tutengeneze ya yeye aniambie yanayo muuzi niyaache na mie nimwambie yanayoniuzi ayaache ila imeshindikana ni kweli anaomba msamaha lakini habadiliki jamani nimeamua kubwaga manyanga nadhani na,mimi ni wakati sasa niwe na maisha ya amani kama Mungu akinipa kibali ndo nnachotamani waungwana
Mmeachana officially au? Nabarikiwa nawe.Hahaha I love JF jamani kuna watu wako smart humu ndani duh nikweli nilimefanya kila njia nimesali sana nikaamua nimsamehe na nikamuomba tukae chini tuyaongee ili tutengeneze ya yeye aniambie yanayo muuzi niyaache na mie nimwambie yanayoniuzi ayaache ila imeshindikana ni kweli anaomba msamaha lakini habadiliki jamani nimeamua kubwaga manyanga nadhani na,mimi ni wakati sasa niwe na maisha ya amani kama Mungu akinipa kibali ndo nnachotamani waungwana
Mimi msamaha ninatafsiri kama kumsahe mtu na kumuachilia moyoni kama mie mwanzo nilikuwa namchukia ilembaya kwa mambo anayofanya lakini badae nikamsamehe na kuanza kumuombea na kumuhurumia kuwa hajui atendalo na pia kutonipenda na kutoniheshimu isiwe sababu ya kumchukia labda moyo wake haukuumbiwa mimi kwahiyo nisilazimishe kwakuwa yeye ni mtu mzima na maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua hivyo ndo alivyochagua nisilazimishe kisicho riziki hakiliki
Kweli umeongea ukweli inaonekana wewe ni mama unayemaanishaHahaha I love JF jamani kuna watu wako smart humu ndani duh nikweli nilimefanya kila njia nimesali sana nikaamua nimsamehe na nikamuomba tukae chini tuyaongee ili tutengeneze ya yeye aniambie yanayo muuzi niyaache na mie nimwambie yanayoniuzi ayaache ila imeshindikana ni kweli anaomba msamaha lakini habadiliki jamani nimeamua kubwaga manyanga nadhani na,mimi ni wakati sasa niwe na maisha ya amani kama Mungu akinipa kibali ndo nnachotamani waungwana
Mimi nina miaka 45, ni single man, sijawahi kuoa na wala sijawahi kuingia kwenye mahusiano[emoji53][emoji53][emoji53].......... je nakufaa?
Hahaha I love JF jamani kuna watu wako smart humu ndani duh nikweli nilimefanya kila njia nimesali sana nikaamua nimsamehe na nikamuomba tukae chini tuyaongee ili tutengeneze ya yeye aniambie yanayo muuzi niyaache na mie nimwambie yanayoniuzi ayaache ila imeshindikana ni kweli anaomba msamaha lakini habadiliki jamani nimeamua kubwaga manyanga nadhani na,mimi ni wakati sasa niwe na maisha ya amani kama Mungu akinipa kibali ndo nnachotamani waungwana
Mkuu, habari za siku? Kimya Sana, bado uko IR?Hicho kibamia ulikionaje??
Sasa kama uhuru umeufurahia mume wa nini??? Ujana ule mwenyewe afu tugawane uzee labda uwe na pesa za kutosha otherwise ata shetani atakataa ombi lako..!Habari zenu,
Maisha ni safari ndefu sana na inamilima na mabonde. Kwa upande wangu mimi ni mwamamke umri miaka 43 nina watoto. Katika maisha haya nimepitia mambo mengi sana na nimejifunza mengi mno ila nimegundua hakuna kitu kizuri na kitamu kama kuishi maisha huru ya amani na upendo.
Yani natamani umri huu niliofikia maisha yangu yaliyobaki niyatumie katika maisha ya furaha na amani. Nipate mwanaume ambaye ni mcha Mungu mkristo umri from 43 and above ambaye anajitambua ambaye nayeye anajielewa na anataka kuishi maisha ya furaha na amani, tuwe wawazi kwenye mahusiano, no michepuko uwe financial stable, mimi pia sio ombaomba niko poa namshukuru Mungu.
Uwe unapenda ibada maana bila Mungu mahusiano huwa ni balaa tupu. Uwe huna mke tafadhali, uwe mmeachana, umefiwa. Hapa ni urafiki na company kwanza mengine baadae sana maana mie ni mtu wa slow motion dont get exited.
Mbarikiwe sana
Mpenzi, ahsante kwa kujali maslahi yangu. Ila huyu si kasema "asiwe na mke?" Asa nani wa 43+ asiyekuwa na mke?? Boya??Babu Asprin wahi huku
Hebu njoo PM mzee mwenzangu tuyamalize mama. Kilio chako kimepata mfariji.Hahaha I love JF jamani kuna watu wako smart humu ndani duh nikweli nilimefanya kila njia nimesali sana nikaamua nimsamehe na nikamuomba tukae chini tuyaongee ili tutengeneze ya yeye aniambie yanayo muuzi niyaache na mie nimwambie yanayoniuzi ayaache ila imeshindikana ni kweli anaomba msamaha lakini habadiliki jamani nimeamua kubwaga manyanga nadhani na,mimi ni wakati sasa niwe na maisha ya amani kama Mungu akinipa kibali ndo nnachotamani waungwana
Link mojawapo hii hapa...Mkuu kuna Thread ulizianzisha Humu Ukiomba Ushauri juu ya Mume wako wa Ndoa Kulewa sana na Kuchelewa kurudi naomba niziandike vizuri kuzilink nimeshindwa.
Mama Katika Thread zako inaonekana ulifika Mahala ukakubaliana na Maisha ya Mumeo na hukupenda kabisa kugombana naye kwa kuwa kila jitihada zote ulizofanya ni kama vile ulikuwa unachochea kuni. Yaani Kama ni Uhuru Ulimpa vya kutosha Pia Kama ni Kuitunza Familia alikuwa Vizuri Pia.
- Mrejesho- hii uliiandika 2015
- Ushauri-Mwanaume Anakunywa Pombe mpaka hawezi kufanya tendo la Ndoa.
- Hivi inakuwaje hii Wanaume Jamani
- Wanaume kuweni wa wazi kwa wake zenu.
Mpendwa naomba utusaidie uliamua kubwaga Manyanga au unatafuta wa Pembeni?
Asante na Mungu akubariki sana.
Mdanganye babu wanawake bila uongo, ni sawa na chai bila sukariMpenzi, ahsante kwa kujali maslahi yangu. Ila huyu si kasema "asiwe na mke?" Asa nani wa 43+ asiyekuwa na mke?? Boya??
Laiti angesema yuko tayari kuwa mchepuko... mimi babu yenu mimi ningekoma kutafuta michepuko... Hivi unajua Salt wangu kuwa mwanamke akifikisha 40+ years anakuwa ana bikra ndogo???
huyu ndo alipaswa kuwa chaguo langu... chaguo la babu... Ni vile hajui tu...
hahhhhahaa!Hebu njoo PM mzee mwenzangu tuyamalize mama. Kilio chako kimepata mfariji.
Njoo tuyajenge mama...
Wajukuu mkae kimya wakati babu akiongea na bibi yenu...
Sawa???