HONDURAS: Xiomara Castro aapishwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke Nchini humo..

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,586
14,138
1643398316914.png

Kiongozi wa Upinzani kutoka chama cha labour party ameapishwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke Nchini Honduras..

Xiomara Castro,Mwanamke wa mlengo wa kushoto amechukua madaraka ya Nchi hiyo baada ya kupata ushindi wa kishindo na kumshinda mgombea wa Chama tawala cha Conservative National Party..

Ameahidi kupambana na ufisadi na ukosefu wa ajira vilivyokithiri na kutamalaki kwenye serikali ya Rais anaeondoka madarakana Juan Orlando Hernandez..

Ikumbukwe Rais mteule Xiomara Castro ni mke wa Rais wa zamani wa Nchi hiyo Manuel Zalaya ambae alipinduliwa na jeshi kwa kushirikiana na wafanyabiashara matajiri hasa wa madawa ya kulevya mwaka 2009..

My take.. Wanawake wanazidi kuaminiwa Duniani kote.
===

Xiomara Castro was sworn in as Honduras' first woman president on Thursday in front of a cheering crowd including U.S. Vice President Kamala Harris, who pledged U.S. government support to stem migration and fight corruption.

Castro's inauguration ends the eight-year rule of Juan Orlando Hernandez, a one-time U.S. ally who has been accused in U.S. courts of corruption and links to drug traffickers. Even as Hernandez left office a U.S. congresswoman called for him to be indicted, and for requests to be made for his extradition.

Castro, flanked by her husband, former President Manuel Zelaya, was sworn in at a packed soccer stadium where supporters applauded her vows to fix the country's massive debt burden.

Register now for FREE unlimited access to Reuters.com​

"The economic catastrophe that I'm inheriting is unparalleled in the history of our country," a somber Castro said in her inaugural address.

Her government also faces tests over a sharply divided Congress, and relations with China due to Honduras maintaining diplomatic ties with Taiwan.

Harris, who was loudly applauded when introduced during the inauguration, congratulated Castro over her "democratic election."

In a meeting shortly after the ceremony, Harris promised to collaborate on migration issues, economic development and fighting impunity, and said she welcomed Castro's plans to request United Nations help to establish an anti-corruption commission.

Harris has been tasked with addressing the "root causes" of migration in Central America's impoverished Northern Triangle of countries, but her trip comes as U.S. President Joe Biden's popularity at home has waned and his immigration strategy has stalled.

"We do very much want and intend to do what we can to support this new president," said one administration official.

Castro tweeted that she appreciated Harris' visit and the Biden administration's willingness to support the Honduran government.

Harris also pledged to send Honduras several hundred thousand more COVID-19 vaccine doses along with 500,000 syringes and $1.3 million for health and educational facilities.

The two did not discuss China, she told reporters.

U.S. officials want to work with Castro both to curb illegal immigration from Central America and shore up international support for Taiwan as part of its efforts to stem China's influence.

Honduras is one of the few countries maintaining diplomatic ties with Taipei instead of Beijing, and Castro during her campaign backtracked on comments that she might switch allegiance to China as president.
 
Kuna fact hapo nimejifunza.wanawake wengi wanaoingia madarakani miaka hii ya karibuni ni kwamba waume zao walikua ni Marais .

Sasa,cjui na kwetu hapa Tanzania ndiyo hivyo hivyo?!!

My take:;Honduras inafanana sana na Tz kisiasa..
 
Kuna fact hapo nimejifunza.wanawake wengi wanaoingia madarakani miaka hii ya karibuni ni kwamba waume zao walikua ni Marais .

Sasa,cjui na kwetu hapa Tanzania ndiyo hivyo hivyo?!!

My take:;Honduras inafanana sana na Tz kisiasa..
Huko Bunge ni la chama tawala ila Rais ni mpinzani,patamu hapo
 
Back
Top Bottom