TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,104 Jul 9, 2013 #1 Nauza Honda Steed Virago cc 400 ipo katika hali nzuri na inatembea. Bei ni Tsh. 2,500,000/= maelewano yapo. Email; nyunzo@yahoo.com Mobile phone; 0713285447. View attachment 101401View attachment 101402
Nauza Honda Steed Virago cc 400 ipo katika hali nzuri na inatembea. Bei ni Tsh. 2,500,000/= maelewano yapo. Email; nyunzo@yahoo.com Mobile phone; 0713285447. View attachment 101401View attachment 101402
J jubilant JF-Expert Member Joined Feb 16, 2009 Posts 305 Reaction score 307 Jul 9, 2013 #2 Nyundo hiyo bike ni ya mwaka gani? imetembea km ngapi na wewe umeitumia kwa muda gani? je ulishawahi fungua engine?
Nyundo hiyo bike ni ya mwaka gani? imetembea km ngapi na wewe umeitumia kwa muda gani? je ulishawahi fungua engine?
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,104 Jul 9, 2013 Thread starter #3 jubilant said: Nyundo hiyo bike ni ya mwaka gani? imetembea km ngapi na wewe umeitumia kwa muda gani? je ulishawahi fungua engine? Click to expand... Mkuu ngoja nitacheck kwenye card yake mi nimetembelea miaka 2 na engine haijawahi funguliwa
jubilant said: Nyundo hiyo bike ni ya mwaka gani? imetembea km ngapi na wewe umeitumia kwa muda gani? je ulishawahi fungua engine? Click to expand... Mkuu ngoja nitacheck kwenye card yake mi nimetembelea miaka 2 na engine haijawahi funguliwa
bonna JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 855 Reaction score 520 Jul 9, 2013 #4 Mkuu Nyunzo hiyo honda ndo uloweka kwenye avatar yako umeipigisha lumbesa ivo???
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,104 Jul 10, 2013 Thread starter #5 Nyunzo said: Nauza Honda Steed Virago cc 400 ipo katika hali nzuri na inatembea. Bei ni Tsh. 2,500,000/= maelewano yapo. Email; nyunzo@yahoo.com Mobile phone; 0713285447. View attachment 101401View attachment 101402 Click to expand... Hii Honda ya mjapan au Mchina?
Nyunzo said: Nauza Honda Steed Virago cc 400 ipo katika hali nzuri na inatembea. Bei ni Tsh. 2,500,000/= maelewano yapo. Email; nyunzo@yahoo.com Mobile phone; 0713285447. View attachment 101401View attachment 101402 Click to expand... Hii Honda ya mjapan au Mchina?