Honda Odyssey inauzwa

Asante mkuu
Nimekusoma uzuuuuuriiiii
 
kwa mtizamo wangu ukubwa wa injini na hiyo bei nadhani kwa wenzangu na mm itakuwa ngumu!!!!no hiyo bei ni kubwa mno

yap nakuunga mkono-hzo cc ni kubwa sana.labda kwa mwenye pesa ndefu
 
yap nakuunga mkono-hzo cc ni kubwa sana.labda kwa mwenye pesa ndefu

pole. ila kumbuka ni gari kubwa si dogo. lenyewe bila mzigo ni karibu tani 2. kwa hiyo unahitaji nguvu kubwa pia kuliendesha ndio maana ya hizo CC. na kwa Odyssey ziuzwazo USA, cc ni 3.5 V6. Ila kama nilivyosema, ukikunja viti unaweza kubeba walau nusu tani bila shida,na unaweza kuvuta tela la kama 750km bila shida.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…