kibiashara
Member
- Feb 4, 2013
- 75
- 13
- Thread starter
-
- #21
Hiyo gari hata mimi kuna jamaa yangu anayo,ni balaa ni kali sana ukiendesha unaweza hisi uko ndani ya ndege,at 120kph inatulia sana,its almost just like driving 550SL Mercedes Benz,mwenye hela ajitose.
Nikupe toyota gaia then nikuongeze different
Yangu ni Honda Accord huwa naiita Beautiful Monster for a reason. Napenda revs zake, powerful machine.
mkuu vp huu mchuma bado upo au ushasepa?
Nice car. nadhani kwa 15M unaweza kuuza, ama?
Nazipenda sana Honda lakini tatizo ni spare tu hawana tofauti na Nissan yaani spare haziingiliani kama za Toyota
Nadhani Honda owners tuna wajibu wa kuwaelimisha Toyota owners na wengine what they r missing in Hondas. Inasikitisha watu wanarundikana kwenye Toyota ambazo kwa kweli hazina mashiko kabisa.... Kizuri kula na mwenzio....
Mkuu kibiashara inaelekea tunakosa vingieee??? ila nadhani kubwa ni upatikanaji wa spare hapa kwetu bongo
wewe unazipata wapi? naomba usinijibu kibiashara zaidi nipe ukweli