Honda CRV for sale, 11m

Honda CRV for sale, 11m

shinga

Senior Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
196
Reaction score
113
aca3b4f8c2750216c271fb27d424c5b8.jpg

Call 0758216498
 
Hizo gari ni za kizaman sana hata kiwandan walishaacha kuzitengeneza model hiyo
 
Kwa Tanzania bado sio ya zaman. Watu wananunua hadi gar za mwaka 1990
 
Naendesha ya 1996 raha sana sijui wewe unayesema gari la kizamani, vip ukienda sheli wenye magari ya hivi sasa ya kisasa zaidi je wanabei tofauti za wese!?
 
Naendesha ya 1996 raha sana sijui wewe unayesema gari la kizamani, vip ukienda sheli wenye magari ya hivi sasa ya kisasa zaidi je wanabei tofauti za wese!?
Kwanza muulize huko sheli anakutana na gari ngapi za 2016?
 
Naiendesha hii gari mwaka wa nne sasa,a very nice car and comfortable, long live Honda crv
 
Full duty paid. Great condition ,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom