Honda crv 1996

mwakibete

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
3,069
Reaction score
2,314
Habari ya weekend wana jamvi!

Tafadhari, nahitaji kununua HONDA CRV-Used.

Je zina matatizo gani ambayo ni common?

Je ni gari nzuri kwa matumizi ya mwenye kipato
cha kawaida?

Msaada wenu unahitajika wana jamvi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…