Wewe jamaa kila gari unalitaka wewe Tu mara pale juu umesema unahitaji
Premio, Volkswagen Tiguan,na Nissan dualis....
Chagua gari moja basi ili upewe ufafanuzi
Wewe jamaa kila gari unalitaka wewe Tu mara pale juu umesema unahitaji
Premio, Volkswagen Tiguan,na Nissan dualis....
Chagua gari moja basi ili upewe ufafanuzi
Tumekuchoka toka mwaka juzi ukipandishwa lift tu gari unakuja fungua uzi unataka kununua upewe ushauri. Safari hii nunua kwanza tuoneshe na kadi yenye jina lako ndo tutakushauri.
Kila gari ina ubora wake na changamoto zake.. Kwa mfano unaweza kupata gari ambayo haili mafuta sana lakini ikawa na shida ya speed ama kuhimili masafa.. Honda nyingi ni gari ngumu ila kwenye spare ndio kimbembe
Mazingira ya kodi ya magari Tanzania sio rafiki wacha jamaa aendelee kuulizia kila gari mimi nimemuelewa sana hata mimi niliwahi nunua gari sio chaguo langu hapo mwanzo kwa sababu tuu ya kodi niliyokua nayo..