and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,107
Gari zuri sana hilo labda uliuziwa tu kimeoKama una hela za mawazo nakushauri usijichanganye ukanunua Honda CR-V utajuta. Nilinunua kwenye mnada Morogoro - Kilimo linanitesa kuliko maelezo. Nimekaribu kuliuza kupitia madalali, nikifika picha hakuna anayejibu.
*** Nawataadharisha maana huko mitandaoni Bei inavutia Ila ukijichanganya usije kusema hukuambiwa
View attachment 1950104
Hiyo gari haina shida kabisa in terms ofIla hii gari ndio model inayomsumbua rav 4 sokoni, pia inasifiwa na baadhi ya wazungu kua ndio reliable zaidi ya rav 4
Haina shida hiyo gari hasa hiyo model ya RD-5Utakuwa umeokoa wengi kwa huu msisitizo wako mkuu.
Ukiona kitabu hukielewi hujaandikiwa wewe.Narudia, gari isiyo Toyota Kwa Tanzania Lazima ukae
Mimi huwa nasema kama wewe ni wa nyama na Kuku, usinionee wivu nikiwa najilia zangu mchicha, Team Toyota wanataka kila mtu ale nyama na Kuku, jamani, wengine sisi ni vegeteriansUkiona kitabu hukielewi hujaandikiwa wewe.
Halafu sio tu anataka na wewe ule nyama, anaumia kabisa wewe ukila mchicha utafikiri kakununulia yeye!Mimi huwa nasema kama wewe ni wa nyama na Kuku, usinionee wivu nikiwa najilia zangu mchicha, Team Toyota wanataka kila mtu ale nyama na Kuku, jamani, wengine sisi ni vegeterians
Dah mnataka zile za 25,000/=?Shipa Kama Shipa!
**Headlight (Taan1 ya Mbele = 510,000 TZS kuagiza 234 USD).
Si kwa Afya ya Mnyonge-MzalendoDah mnataka zile za 25,000/=?
Unakuwa na bima kubwa tuu hutapata hizi shida ndogo ndogoSi kwa Afya ya Mnyonge-Mzalendo
Mkuu hiyo gari iko wapi na unauzaje?Kama una hela za mawazo nakushauri usijichanganye ukanunua Honda CR-V utajuta. Nilinunua kwenye mnada Morogoro - Kilimo linanitesa kuliko maelezo. Nimekaribu kuliuza kupitia madalali, nikifika picha hakuna anayejibu.
*** Nawataadharisha maana huko mitandaoni Bei inavutia Ila ukijichanganya usije kusema hukuambiwa
View attachment 1950104
Mkuu mimi nataka ninunue Ford Mustang vipi itanisumbua?Ila hii gari ndio model inayomsumbua rav 4 sokoni, pia inasifiwa na baadhi ya wazungu kua ndio reliable zaidi ya rav 4
Mnyonge tembea kwa miguu.Si kwa Afya ya Mnyonge-Mzalendo