HahahaaaHata Japan kwenyewe kampuni ya honda inashika nafasi ya pili Kwa mauzo na kuwa na magari yanayoaminika..
Ila honda Wana design mbaya ya magari Yao huwa siyaelewi Sana magari yao
Changamoto ya Honda ni spear. Spear zake ni shida kubwa.Kibongo bongo, Toyota hana mpinzani kwa idadi ya magari na "kuaminiwa" na watu. Ila sasa kwa gari "imara" used kutoka Japan, Toyota brand ndio inaweza kuongoza, ikifuatiwa na Honda namba tatu wacha wagombanie wakina Nissan, Suzuki na Subaru.
Sasa kwa upande wa best selling sedans kuna bwana anaitwa Toyota Camry na Corolla ila kwa Honda kuna Accord na Civic. Hatusemi wengine hawauzi ila wanauza ata zaidi ya hao ila sio worldwide, mfano Crown ilikua haiuzwi Marekani hadi ilipokuja hii Model ya 2023.
Sasa bwana sijui wapenzi wa Sedans wanafeli wapi, nimekutana na Accord chache sana hapa Dar. Kama 4 hivi ingawa najua zinaweza kua zaidi. Na nyingi ni generation ya 7 (2002) na ya 8 (2008).
Uzuri wa Honda Accord ina generations nyingi zaidi ya 11 kwahiyo imepitia maboresho mengi sana.
Imagine kitu kama hiki hapa utaamini kwamba ni cha mwaka 2013?
View attachment 2950180
Sema ndio hivo imekosa wadau na ata ukiingia kwenye website maarufu za kuagiza magari unakuta zipo chache sana.
Kama wewe ni mdau wa Sedans, ebu cheki na Accord ni moja ya best car kwa sekta za reliability na fuel efficiency.
Sijui uwa wanatumia vigezo gani katika kupanga (sio ku calculate) izi gharama zao.Tatizo ni calculator ya TRA
Changamoto ya Honda ni spear. Spear zake ni shida kubwa.
Ukosefu wa taarifa unaweza kuwa sababu ila kwa uchumi wa wabongo hizo bei anaona bora ajichukulie magari ya biashara awe transporter..Sijui uwa wanatumia vigezo gani katika kupanga (sio ku calculate) izi gharama zao.
Ona mfano hapa tuna Honda Accord ya mwaka 2014 ushuru:
View attachment 2950805
Hafu chini yake tuweke BMW ya mwaka huo huo 2014 ushuru:
View attachment 2950806
Yaani BMW ina ushuru chini ya Honda kwa Million 4.5 hivi. Why?
Ukisema bei nakukataa. Kwasababu BMW inavotoka mwaka 2014 iliuzwa above $32,000 wakati Honda Accord ilianzia $22,000.
View attachment 2950807View attachment 2950808
TRA ichukuliwe na DP WorldUkosefu wa taarifa unaweza kuwa sababu ila kwa uchumi wa wabongo hizo bei anaona bora ajichukulie magari ya biashara awe transporter..
Bei ya accord used kulingana na calculator ni dola 8000 ukiongeza na huo ushuru basi kuna kila sababu ya watu kutoshobokea huo mchongo.
Bongo Toyota itaendelea kutawala mpaka pale ccm itapotoka madarakani.
Honda hata kupata spear huko Japan ni shida sana.Hakuna muuza spare ataleta spares ambazo zitakaa tu dukani. Gari zikinunuliwa nyingi spare zake zitakuwepo tu
Mshindani mwingine wa corolla ni nissan sunny gari moja nzuri sana sijui nissan wamefeli wapiKibongo bongo, Toyota hana mpinzani kwa idadi ya magari na "kuaminiwa" na watu. Ila sasa kwa gari "imara" used kutoka Japan, Toyota brand ndio inaweza kuongoza, ikifuatiwa na Honda namba tatu wacha wagombanie wakina Nissan, Suzuki na Subaru.
Sasa kwa upande wa best selling sedans kuna bwana anaitwa Toyota Camry na Corolla ila kwa Honda kuna Accord na Civic. Hatusemi wengine hawauzi ila wanauza ata zaidi ya hao ila sio worldwide, mfano Crown ilikua haiuzwi Marekani hadi ilipokuja hii Model ya 2023.
Sasa bwana sijui wapenzi wa Sedans wanafeli wapi, nimekutana na Accord chache sana hapa Dar. Kama 4 hivi ingawa najua zinaweza kua zaidi. Na nyingi ni generation ya 7 (2002) na ya 8 (2008).
Uzuri wa Honda Accord ina generations nyingi zaidi ya 11 kwahiyo imepitia maboresho mengi sana.
Imagine kitu kama hiki hapa utaamini kwamba ni cha mwaka 2013?
View attachment 2950180
Sema ndio hivo imekosa wadau na ata ukiingia kwenye website maarufu za kuagiza magari unakuta zipo chache sana.
Kama wewe ni mdau wa Sedans, ebu cheki na Accord ni moja ya best car kwa sekta za reliability na fuel efficiency.
Tz tunaogopa neno NISSAN.Mshindani mwingine wa corolla ni nissan sunny gari moja nzuri sana sijui nissan wamefeli wapi
Umetisha,umet9ka nje ya boksiTRA ichukuliwe na DP World