Homosexuality is not choice therefore no one can change the way he is, look, you claim sexuality is for procreation but this can't be true because if these were true why there are couples with disabilities to give birth?
No religion no culture can make someone different from who he/she is!
Kamwe usihuku kama haujajua chanzo au hili swala ni lakujitakia au la?
)
Maana utafiti wa kisayansi unaonyesha kuwa kuna asilimia kubwa(bado tamko maalum halijatolewa/utafiti unaendelea) kuwa hii hali itakuwa sio ya kujitakia(choice)
Inawezekama we ndio ukawa na matatizo maana ye anataka kuwa huru na jinsi alivyo we unamshangaa sasa nani wa ajabu hapo?
Hii ni dunia ya ukweli na uwazi na mungu anawapenda wasema kweli, Itakushangaza lakini utaelewa tu lol,
da point is:Marytina, what is da point?
When you are against nature. Hivyo yeye na wewe unaye tetea kuwa kinyume na nature ni watu wa ajabu.
Homosexuality is not choice because it is a demonic. So, when you are demon possesed, you have no other choice but to obay demons and that IT IS YOUR CHOICE.
You are dead wrong when you say no one can change the way he is. Mamia ya hao mashoga wanakuwa delivered na Yesu na wanaachana na hiyo dhambi ya USHOGA.
What kind of disabilities? Try to be more conspicuous.
<br />....hata wewe mwenyewe uliyeandika hapo juu huamini ulichoandika,unaanza kutafuta justification kwa kutumia yesu,mwanafunzi mzuri wa History anajua jinsi your good book/yesu ilivyotumika kuweka unjust laws katika society kwa hiyo usituletee BS zako,mungu wako ni huko huko sio kila mtu anaamini ushuzi wenu
Acha kufungwa na imani ya kidini ndugu MaxShimba, wewe inaquote bible, je vipi kwa wale wasio iamini?
!
Kama Mungu ni upendo pasi anatupenda wote na kamwe hana ubaguzi, vipo vifo vingi vya kujinyonga vimeripotiwa kwa sababu watu kuogopa au kutengwa na wengine kwa kitu wasichojitakia!
!
When talking about Homosexuality is not Good vs Bad na ukiegemea upande mmja kama wa kwako(dini) kamwe hutopata jibu.
!
Ni vema ufahamu kuwa sio binadamu tu wanaonyesha hii tabia ya homosexuality, zipo aina nyingi za wanyama zaidi ya 400 zinaonyesha tabia hii(nitakuwekea uthibitisho)
<br />
<br />
Maxi shimba kakimbia ukumbi wa dini wanajua kule ningaliwapa majibu yao maana roho mtakatifu wake anayapenda haya mambo na ushahidi nimewahi kuwaletea mara nyingi kutoka kwenye biblia ileteni hii thread kwenye ukumbi wa dini
I insist again and again homosexuality is not a choice and nothing can change it, is just like the colours of our skins,, u born dark skinned you will remain with it, i am just appalled is like saying being albino is wrong!
You are wrong MaxShimba!