Home Tuition

Home Tuition

RHA

New Member
Joined
Aug 17, 2025
Posts
3
Reaction score
0
‎📢 TANGAZO MAALUM LA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI 📢

‎Naitwa Mwalimu Hashimu Asiki, mwalimu mbobevu na mwenye uzoefu katika kufundisha Physics na Mathematics kwa ngazi mbalimbali:

‎✅ Primary School
‎✅ O-Level (Form I – IV)
‎✅ A-Level (Form V – VI)

‎Ninafundisha kwa lugha mbili kulingana na mahitaji ya mwanafunzi:
‎🌍 Kiswahili
‎🌍 English

‎🎯 Lengo langu ni kuhakikisha mwanafunzi anaelewa kwa kina masomo, kuondoa hofu ya Hisabati na Fizikia, na kuongeza ufaulu wake darasani na mitihani ya Taifa.

‎Sifa kuu za ufundishaji wangu:
‎📌 Uelewa wa haraka kwa wanafunzi wa viwango tofauti.
‎📌 Mbinu shirikishi na rahisi kueleweka.
‎📌 Uzoefu wa kufundisha masomo ya Science & Mathematics.
‎📌 Kuweka misingi imara ya maarifa na uwezo wa kutatua maswali magumu.

‎📞 Kwa mawasiliano na ratiba za masomo:
‎👉 Simu:0680167420/0740333002

‎🎓 Elimu ni Ufunguo wa Maisha – Wekeza kwa mwanao leo!
 
Back
Top Bottom