Don king shebby
Member
- Apr 4, 2019
- 78
- 52
Sh 10,000 masomo mawili kwa siku! Kwa siku unatumia masaa mangapi kumfundisha?? Siku nzima??Tangazo tangazo yule mbobezi,fundi ,mtaalamu wa masomo ya sayansi physics ,mathematics na chemistry shebby maconcept kutoka chuo kikuu cha dar es salaam anawatangazia home tuition program kwa wakazi wa Dar es salaam yaani elimu mpaka nyumbani/ sebuleni kwako kwa sh elfu kumi kwa masomo mawili kwa siku utakayotaka kati ya physics ,mathematics na chemistry kwa level zote form one mpaka form six pia kwa wale wa primary tunawakaribisha Sana hisabati (mathematics),sayansi (science),kiingereza na maarifa ya jamii(social science) kwa both english medium na shule za msingi za kawaida ewe mzazi/mlazi ushindwe kufanikisha ndoto za mwanao urithi bora ni elimu NB; siku ya wiki end ni free hapo ni solving au paper na revision ya wiki nzima tuliosoma changamkieni fursa by shebby maconcept kwa mawasiliano piga 0625532429/0678901158/0745139375 asanteni
masaa mawili kaka na wikiend ni bure tunafanya revision na solving za wiki nzima au paperSh 10,000 masomo mawili kwa siku! Kwa siku unatumia masaa mangapi kumfundisha?? Siku nzima??
karibu sana kaka naomba uzidi kunisupport kwa kushare ili tangazo liwafikie watu wengimasaa mawili kaka na wikiend ni bure tunafanya revision na solving za wiki nzima au paper
Asante kaka kwa mchango wako lakini hainifanyi kukata tamaa mwanzo huwa ni mgumu badae najua utakuja nipongezaUpat mtu vyum vimekaz lbda ujifunze mwenyew.
Asante naomba uzidi kunisupport kwa kushare kwenye platform tofauti tofauti ili tangazo liwafikie najua kuna wengi wanauhitaji hilo naamini na imani ninachokifanya kitaleta matundaHongera Dony
sio kweli unachozungumza kila mtu anaamua anachoweza kufanya kuna mzazi anapenda mwanae asome kwa utulivu tena kwa usalama na nyumbani ni sehemu kubwa penye usalama kuliko kwenye centres huu usalama nazungumzia kwenye maadili na mengineyo na mwalimu mzuri hapimwi kwa hivyo kakaMzazi kumkaribisha mwalimu wa twisheni kwako unajitafutia matatizo.
Wengi wanao enda fundisha majumbani sio walimu wazuri.
Walimu wazuri wana centre zao
Tena ngoja nikupe shule kidogo mwalimu mzuri anavitu vikuu atleast vitatu content skills(competence of subject matter) , pedagogical skills( Hapo tunazungumzia methodology ) pia moral and ethical behaviour (The way teacher behaves and how treat the students kuna factors nyingi sana nimekupa kwa uchache Mimi ninaexperience Sana nahayo macentres unayozngumzia Kwanza wengi walimu wanaofundisha sio walimu professional ujue na wengine ni form six leavers tu sitaki kuwataja kwa majina ni biashara zao content zao zakibabaishaji mwambie ticha maarufu alete vyeti ndo utacheka huwezi kurudi tena Mimi nawajua wajanja wajanja Sana sio wote lakini kwa hio mada yako walimu wa nyumbani sio wazuri ni uongo Mimi ni mwalimu mzuri ninayejiamini ukinipa mwanafunzi utajionea mwenyewe Kama alikuwa hawezi masomo ya sayansi atawezaMzazi kumkaribisha mwalimu wa twisheni kwako unajitafutia matatizo.
Wengi wanao enda fundisha majumbani sio walimu wazuri.
Walimu wazuri wana centre zao
Ushauri:Tena ngoja nikupe shule kidogo mwalimu mzuri anavitu vikuu atleast vitatu content skills(competence of subject matter) , pedagogical skills( Hapo tunazungumzia methodology ) pia moral and ethical behaviour (The way teacher behaves and how treat the students kuna factors nyingi sana nimekupa kwa uchache Mimi ninaexperience Sana nahayo macentres unayozngumzia Kwanza wengi walimu wanaofundisha sio walimu professional ujue na wengine ni form six leavers tu sitaki kuwataja kwa majina ni biashara zao content zao zakibabaishaji mwambie ticha maarufu alete vyeti ndo utacheka huwezi kurudi tena Mimi nawajua wajanja wajanja Sana sio wote lakini kwa hio mada yako walimu wa nyumbani sio wazuri ni uongo Mimi ni mwalimu mzuri ninayejiamini ukinipa mwanafunzi utajionea mwenyewe Kama alikuwa hawezi masomo ya sayansi ataweza
Asante kwa ushauri kaka umenipa kitu cha kuongeza Mimi napenda Kama hivi unanishauri sio kukatishana tamaa Kama wengineUshauri:
Fungua youtube account / channel, tupia session mbili kwa kila somo. Hii itasaidia sana watu kutambua hizo sifa ulizojipa ( competence, pedagogical skills etc.)
Kinachoturudisha nyumba wabongo wengi ni kutaka pesa kwanza. Onyesha kazi zako pesa itakufata tu
Sio kosa lako mzee!!!Wengi tumezoea tuition vibandan,kipindi 300!!!!Sasa unaposikia jamaa anapigisha pindi 10000 unaona kama utani vileeeee!!!!!Sikushangai!!!Upat mtu vyum vimekaz lbda ujifunze mwenyew.
Asante kaka kwa kunitia moyo naomba uzidi kunisupport kaka kwa kushare kwa wengine hii ni kazi niliyoamua kuifanya response imekuwa kubwaSio kosa lako mzee!!!Wengi tumezoea tuition vibandan,kipindi 300!!!!Sasa unaposikia jamaa anapigisha pindi 10000 unaona kama utani vileeeee!!!!!Sikushangai!!!
M niligaiwa mchongo kufundisha watoto fulan hivi,af mleta mchongo akaniambia "Wana hela hawa,mwl wao wa zaman alikuwa anakula mpaka 30,000 kwa siku!!!Nikikuunganisha mi niletee 5000 tuu kwa siku" Nikaona kama jamaa ananitania vileeee!!!!
Mleta uzi,vuta subira,utapata vichwa tuuuuuuu