Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 417
Kwanini watawala wetu hawawi wakweli, kwanini wasituambie kama walivyo tuambia Mikoa ya kanda ya ziwa kuwa tunapulizia sumu ya ukoko a.k.a. (sumu hatari ya D.D.T) au mnajua mkiwaambia watu wa Dar kuwa hii ni sumu ya D.D.T watakataa kupuliziwa? kwani sumu hii ni hatari kwa viumbe hai. naona hamjanielewa nihivi, hiisumu nimoja ya viuatirifu aina 12 vilivyopigwa marufuku kwa matumizi Duniani? na ililetwa hapa lwetu ili itumike kwenye mahindi ila ikaonekana haifai, sasa kwakuwa hapa TZ tunayo, na haijaisha mdawake ili irudi kwa wario itengeneza. wanatafuta njia ya kuitumia.