Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,182
Wasaalam,
Mapema Leo niko nyumbani kabla ya saa tatu kamili sio kawaida yangu mpaka mtoto anauliza baba muda mrefu sijakuona ulikuwa umesafiri? Nashindwa kujibu nachukua remote naitafuta TV E
Ndiyo ni TV E ya Majizzo unayoifahamu wewe, binafsi sio mpenzi wa kuangalia TV ila kwa leo imenibidi nitenge muda wa kukaa chini na kutazama kinachoendelea TV E.
Toka majuzi kati nasikia homa homa kila muda nikitizama ni homa, bahati mbaya naona kwenye homa watakuwepo Kijitonyama Choirs, basi bwana nikapanga ratiba vizuri sana ili muda wa homa ukifika na mimi nipatwe na hiyo homa
Kijitonyama Choirs live imenikumbusha mbali kipindi cha kina Joshua Mlelwa ambaye namuona kwa sasa upendo group. Wajuzi nijuzeni nini kilimkuta Joshua na wenzake wakaamua kuhama kutoka kwaya ya kanisani na kuanzisha kikundi chao?